About | Uhusiano

I left a place that never left me.
Travelling to learn what I could.
Neither regret, nor remorse;
But a longing for what was left behind.

Memories, experiences, dreams.
Molded, felt, created.
The lens continues to widen.
The stories continue to evolve.

Buttons and beads.
Fabrics and metal.
Paint and texture.
Echoes from before.

Where does it begin?
Where does it go?
Verbs over nouns.
The enjoyment of the journey.

_________________

Niliacha pahali ambapo haijawahi kuniacha;
Safari kujifundisha kile kilichoweza.
Bila majuto;
Lakini tamani na hamu kwa vingi nilivyowacha.

Uzoefu, ukumbusho, ndoto.
Imeundwa, imepitiwa, imeotwa
Kwa namna zinakuja pamoja
Mahali kuna hadithi.

Kifungo na shanga.
Kitambaa na chuma, rangi, mfumo.
Rangi na mfumo
Zinasikikwa kutoka zamani hadi sasa

Hizi zote zinatokea wapi lakini?
Na huwa inaenda wapi, jameni?
Kitenzi juu ya nomino
Safari ya kufurahia

Samples | Mifano

Get in Touch | Mawasiliano

Contact us at contact@wachira.art or use the form below

©2026 Wachira. All Rights Reserved.